Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #21
Hali sio nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri mtani japo. Huwezi kutoboa tu, maana naona umeanza kuruhusu bao mapemaHahahaa. Nakuona
Tangaza mpira. Hali mbaya tutakuelewa vipi? Ewe kiongozi wa updateHali ni mbayaa
Yaani wacha tu halafu hata sioni tunacheza nini Mtani.Kila la kheri mtani japo. Huwezi kutoboa tu, maana naona umeanza kuruhusu bao mapema
Naona mauza uza tu mie.Hali ni mbayaa
Salaam Mtani, Tuitane Unajua Leo NakushangaliaYaani wacha tu halafu hata sioni tunacheza nini Mtani.
Yani tusipobadilika tutakumbwa na dhahamaNaona muza uza tu mie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fala kwel wewbao moja la fasta hivyi duuh ama kweli yanga ni kitu mnato.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahaaa. Mie sijambo namshukuru Allah. Sijui wewe Mtani?Salaam Mtani, Tuitane Unajua Leo Nakushangalia
Itatakiwa wacheze kama wako nyumbani kujiamini na kushambulia. Lakini naona wanajilinda zaidi Yanga.Yaani wacha tu halafu hata sioni tunacheza nini Mtani.
Yaani bila utulivu tunazioga leo.Yani tusipobadilika tutakumbwa na dhahama
Kumbe na wewe ni yanga....Yanga daima mbele