Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

19' golikipa Rostand anaokoa bao la wazi, huku mchezaji wa Yanga yuko chini baada kupata rabsha

Welayta 1-0 Yanga

(Agg 1-2)
 
Ndio hapo aisee. Na njaa hii tuliyonayo yukifanikiwa kuzipata zitatusogeza kidogo.

alafu aijaelewa njaa imetoka wapi
Sport Pesa
Vodacom
Azam (Tv rights)
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
28 ' Chirwa anakosa goli la wazi na kuwa kona ambayo haikuzaa matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…