Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Wewe na kluger mnaangalia Screen tofauti Mkuu? Mbona mwenzako kasema jamaa wamepata Goli la pili dakika ya 37 na Wewe bado unang'ang'ania hilo hilo lako moja? Sasa hapa tumuamini nani?
Mkuu hapo sijui anaangalia screen gani au yuko uwanja gani. Half time. Matokea ubao unasomeka hivi;

Welayta Ditcha 1-0 Yanga SC

(Aggregate 1-2)
 
Wewe na kluger mnaangalia Screen tofauti Mkuu? Mbona mwenzako kasema jamaa wamepata Goli la pili dakika ya 37 na Wewe bado unang'ang'ania hilo hilo lako moja? Sasa hapa tumuamini nani?
Huyo ww goli 2 atakuwa anafatilia mpira kupitia app ya futbol 24 uwa wanaweka updates zote so hata goli liikingia halali au Sio halali wanaleta notification then km likikataliwa wanalifuta
 
Vyura wameenda kujidharirisha tu, hawajui soka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
50' Anakwenda pale chirwa, anapiga go go laaa laaa, njeee, inakuwa ni goal kick.. Namna gani hapa chirwa..!
 
Hawa dicha weupe, mbona wanapelekwa sana!
Kwa jinsi mechi ilivyo, Yanga watachomoa!
 
kuna haja kocha wa yanga kuwafundisha wachezaji wake wawe comfortable na mpira naona wakishika mpira wana tension sana
 
Youthe anapiga goal kick ile inakwenda mbele, mpira unatua kati ya uwanja, kwake Aroo, anapoteza kwake Kessy na unatoka nje ni wa kurushwa
 
Kwa huyu mtangazaji wao na quality ya picha zao..watasubiri miaka 20 kuwafikia azam hawa mbwiga
 
kuna haja kocha wa yanga kuwafundisha wachezaji wake wawe comfortable na mpira naona wakishika mpira wana tension sana
madhara ya kucheza ukiwa umeahidiwa fedha endapo mtashinda ndo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…