barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ni moja bila, mimi naangalia sasa kipindi cha pili kinaanza.Wewe na kluger mnaangalia Screen tofauti Mkuu? Mbona mwenzako kasema jamaa wamepata Goli la pili dakika ya 37 na Wewe bado unang'ang'ania hilo hilo lako moja? Sasa hapa tumuamini nani?