Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Duh! Watani bwana hamjambo. Mnashangilia kuingia makundi kumbukeni hili shindano la shirikisho sisi wekundu tulifika fainali tena kwa kuzitoa timu ngumu. Mnayo changamoto mbele cha msingi msifurahie makundi kaeni mjenge timu ya ushindani maana mnakoelekea ni pagumu sana.
Kila la heri
mwaka gani?
 
mwaka gani?
Soma hapo chini
SmartSelectImage_2018-04-18-19-21-43.jpg
 
Michuano aliyoshiriki Simba wakati huo ilikuwa yanashirikisha timu zilizoshika nafasi za 3 kwenye ligi za nchi zao, wakati huo yalikuwepo mashindano 3 tofauti.
Kwa hiyo michuano hiyo ilikuwa dhaifu kulinganisha na ya sasa?
 
Timu zilizoqualify hadi sasa

  1. Al Massry-Misri
  2. USM Algiers-Algeria
  3. AL Hillal-Sudan
  4. Enyimba-Nigeria
  5. Asec Mimosas-Ivory Coast
  6. Aduana Stars-Ghana
  7. AS Vita-DRC
  8. CARRA Brazaville-Congo
  9. WilliamsVille AC-Ivory Coast
  10. Young Africans-Tanzania
  11. Gor Mahia-Kenya
  12. Rayon Sports-Rwanda
  13. Djoliba-Mali
  14. US Songo-Msumbiji
 
He ukifanya vzr group stage unashiriki mashindano yajayo.sheria hiyo imeanza lini
Nadhani kamaanisha nusu fainali really ukifika nusu fainali mwakani unashiriki hata bila ubingwa mziki upo kwenye kufika hyo nusu fainali!
 
Back
Top Bottom