[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata hivyo Yanga wamejitahidi, yaani wamefungwa 1-0 away! Ndiyo mechi pekee ambayo wamefungwa mabao machache ugenini.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
$300,000 wamepata sio kidogoAsanteni kwa kushiriki...
Haitoshi na madeni waliyo nayo$300,000 wamepata sio kidogo
Ni siku ya kufa nyani Maui.Kwani Yule Mchezaji Wao Anaeitwa Makombo alikuwa Hayumo Hata Wakafungwa?
[emoji1] [emoji1] [em/QUOTE]
Nimeumiyasan naipenda yanga San najuwa mwakahuu tutafanyavizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa afadhali jana hatukupata kipigo cha mbwa koko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app