Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Wapo wapo tu.Yanga wanacheza hawajui wanataka nn,timu km ya bonanza na mechi kama ya bonanza.Hovyo kabisa.
Utabiri kama ndoto ya mchana!Huu ndo utabiri wangu kwa mechi ya leo.
Labda hujaenda shule. NI MWENYEZI MUNGU. Sio hiko ulichokiandika cjui ni kilugha cha kwenuHawa waliotuletea dini ya mnyazimungu lazima leo tuwachape
TBC Taifa...Redio ipi wanatangaza nisikilize ? Ingawa najua leo tunafungwa.
Hatuwezi, hizo haziwezi tokea.Tusije tukachezea 13 kwa hali hii.
Na leo hamna cha penalty maana ata kushambulia hawashambuliiWapo wapo tu.