SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nasikis paredi imeandaliwa kabisa baada ya kutwaa IST Cup. Wanayanga watatembea vifua mbereee kunadi hicho kikombe ambacho wakifanya mchezo hawanyanyui tena kwapa msimu huu.
Yanga bana. Waliyakejeli mashindano ya Kombe la Muungano kisa yalikuwa na timu 4 tu, wao wameenda kukenua meno na wanaandaa paredi kwa kuchukua kikombe baada ya kucheza mechi moja ya kirafiki.
Ni nani pia aliyewaroga Toyota waingie gharama kuandaa mashindano yale kukuza brand yao nchini wakati asilimia 90 ya magari nchi hii ni yao na wengi wanaagiza ya miaka 10 iliyopita na huko serikalini nadhani inaweza kuwa wanamiliki soko asilimia 100? Labda kama wameamua kurudisha kwa jamii au kama lengo hasa lilikuwa soko la South Africa.