Kombe wanakabidhiwa baada ya mechi kwa hiyo wamelichukua kabla hawajakabidhiwa? Au wameliiba?

Kombe wanakabidhiwa baada ya mechi kwa hiyo wamelichukua kabla hawajakabidhiwa? Au wameliiba?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi?

Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
 
Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi ? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi,? Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
Kwani kombe walikuwa nalo nani? Wewe ni mzima upstairs?
 
Mwaka huu wameplani paredi la hovyo kuwahi kutokea duniani. Kwanza halina hamasa ya maandalizi, pili linafanyika muda mbaya
 
Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi ? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi,? Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
Kombe walishapewa Leo nimakabidhiano rasmi na mgeni rasmi pia kuweka kimbukumbu ya kihistoria ili wale wanajizima data wapewe /waonyeshwe ushahidi, ushindi ulioithibitisha ubingwa ni siku yanga sc ilipocheza na mtibwa
 
Mwaka huu wameplani paredi la hovyo kuwahi kutokea duniani. Kwanza halina hamasa ya maandalizi, pili linafanyika muda mbaya
Kweli kabisa bloo. Paledi la simba kwenda arusha kuwadhulumu kmc ndio limekaa poa sana
 
Tulieni nyie Kolo kombe litafika na A town
 
Wazee wa Uturuki vipi jamani, tuacheni tuchukue kombe letu tulipeleke Avi town pale.
 
Tulieni nyie Kolo kombe litafika na A town
Wapunguze munkari. Hata Chuga watapata bahati ya kuliona!

IMG-20240525-WA0063.jpg
IMG-20240525-WA0062.jpg
IMG-20240525-WA0064.jpg
IMG-20240525-WA0065.jpg
 
Back
Top Bottom