Kwani kombe walikuwa nalo nani? Wewe ni mzima upstairs?Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi ? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi,? Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
Wacha wivu wewe Ngumbaru FCMwaka huu wameplani paredi la hovyo kuwahi kutokea duniani. Kwanza halina hamasa ya maandalizi, pili linafanyika muda mbaya
Kombe walishapewa Leo nimakabidhiano rasmi na mgeni rasmi pia kuweka kimbukumbu ya kihistoria ili wale wanajizima data wapewe /waonyeshwe ushahidi, ushindi ulioithibitisha ubingwa ni siku yanga sc ilipocheza na mtibwaHawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi ? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi,? Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
Kweli kabisa bloo. Paledi la simba kwenda arusha kuwadhulumu kmc ndio limekaa poa sanaMwaka huu wameplani paredi la hovyo kuwahi kutokea duniani. Kwanza halina hamasa ya maandalizi, pili linafanyika muda mbaya
Nipo kwenye siku za kukubanduwa bila keiwai.Upo kwenye siku zako ? Mbona unaingilia vitu visivyokuhusu
Wapunguze munkari. Hata Chuga watapata bahati ya kuliona!Tulieni nyie Kolo kombe litafika na A town
Mkesha kwa mkapa leo. Parade ni keshoMwaka huu wameplani paredi la hovyo kuwahi kutokea duniani. Kwanza halina hamasa ya maandalizi, pili linafanyika muda mbaya
Tulia linakuja ArushaKombe lenyewe kwanza bayaa!