Kombi ya "EGM" ni sayansi au Art?

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Wadau kuna siku tulibishana sana na jamaa zangu tukiwa Form Five kuhusu kombi ya EGM Kama ni Sayansi, Art au Neutral? Anaefahamu vema anijuze jamani maana hadi sasa sina jawabu kamili hata nikiulizwa na wadogo zangu. Pia anaweza akawepo alie kuwa hajui kama mimi akanemeka kwa majawabu yenu ya hekima. PIA unapochangia naomba utoe sababu kwanini ni Art au kwanini ni sayansi. KARIBUNI SANA.
 
PHYSICS, CHEMISTRY na BIOLOGY ndo 'Sayansi'. Maths is the language for both sanaa na sayansi . EGM ni combination ya Arts na ni kama HGE
 
Ukitaka kujua kama ni sayansi tafuta definition ya neno SCIENCE halafu uone kama hayo masomo yanafiti kwenye hyo defn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…