Wadau kuna siku tulibishana sana na jamaa zangu tukiwa Form Five kuhusu kombi ya EGM Kama ni Sayansi, Art au Neutral? Anaefahamu vema anijuze jamani maana hadi sasa sina jawabu kamili hata nikiulizwa na wadogo zangu. Pia anaweza akawepo alie kuwa hajui kama mimi akanemeka kwa majawabu yenu ya hekima. PIA unapochangia naomba utoe sababu kwanini ni Art au kwanini ni sayansi. KARIBUNI SANA.