Kombi ya EGM, ushindani katika soko la ajira

Kombi ya EGM, ushindani katika soko la ajira

EGM=Expected General Manager. Hiyo ndiyo combination yangu. Unaweza kusoma taaluma zifuatazo: 1.Architect 2. Quantity Surveyor 3.Statistics 4.Economics 5.B.Com (Finance, Marketing, Accounting, etc) 6.Land Management and Evaluation 7.etc
 
Kuna thread ilianzshwa jana ya dogo wa egm kuhusu upatkanaj wa ajira hapo bdae kwa komb hyo ila mbona saiz haipo? Vp mode.
 
Nashukuru kwa ushaur wenu jamiiforums members..Mmeniondoa waswas.
 
usiende pcm kwa kulazimishwa kama huna uhakika nayo pga egm ni nzuri tu mathematics inaipaisha pale Ardhi kuna kozi kibao unaeza ukasoma kwa mtu aliyesoma egm sio lazima ukapge accnts au arts... asikuambie mtu kozi nzuri zpo kibao kwa watu wa egm usiogope
 
Naomba mniambie kama kuna ukwel wowote kuwa mtu alyesoma egm atapata tabu kwenye ajira hapo bdae.
Daaa una bahati sana sana kama ukisoma EGM Sawasawa...

yaaani usome uchumi na hesabu....hi kozi NOMA YAANI NZURI BALAAAA,UNATOKA FASTA NA KUWAONGOZA WNGINE BIG BOSS UNAKUWA..

kozi zote za Biashara,Utawala,Uchumi,Uhasibu,Ugavi,ujasiriamali,Takwimu,Masoko,Marine,shipping,Ardhi nk
kwa uchache unaweza kuja kusomea hizi je hizi hazilpi?hujaona hawa watu?
Labda unataka uvumbUe vitu kama newton wa hapa bongo?
 
Danganyaneni. Bongo ni whom you know vinginevyo andaa bahasha za kutosha. Pam Ana kufaru kwanza ubora wa combi wala degree program co issue so kazana.
 
Dogo combination haikupi ajira ajira inaangalia nini utasoma chuo, xaxa ukixoma education bado utauliza kuhusu ajira? akili za mbayuwayu changanya na zako,
 
Nahisi Idea ya mshauri wa huyo kaka ilikuwa akisoma egm atalazimika kusoma arts degree programmes mfano accounts ambazo ajira zake ni za shida sana ukilinganisha na sayansi atayesoma engineering degree programmes. Kusoma education or whatever that wasn't in your mind ni matokeo tu baada ya kuangalia alternatives au kulazimishwa na mazingira mfano mikopo........,mdogo wangu pia(mtoto wa aunt) alishauriwa asome egm,nikaingilia kati na kulazimisha asome PCM,saivi yuko Ardhi anasoma engineering na heslb wanamsponsor of which could not be the case with EGM. Kama una pesa yako ya kujisomesha mpaka elimu ya juu na hautegemei kuajiriwa soma kozi yoyote uipendayo vinginevyo soma mazingira. ........

sio kweli..check tcu guide book....kozi kibao za science egm inapeta......ardhi,ud,sua
 
Msituchanganye bana PCM PCM hayo majina tu ya masom ajira ni bahat mafisad wangap wanakula mapesa yetu hata 0 hawajawah pata kwene mitihan yao zaid ya -
 
Back
Top Bottom