Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa elnino walisanda hawa mashefa.Ferdinand na Vidic ilikuwa aidha upite wewe mpira ubaki au wewe ubaki mpira upite
Hiyo combination ni kama vile Mwanamke wa Kinyaturu na MrangiFerdinand na Vidic ilikuwa aidha upite wewe mpira ubaki au wewe ubaki mpira upite
Huyo Pepe alizidisha bange maana sio kwa roho mbaya ile.Wazee wa kazi chafu Pepe na Ramos
Hapana sio wao mkuu, cheki tena rekodi zako
Maldini na nesta walikuwa hatari
Ila walikaa mbele ya mnyama GauchoMaldini na nesta walikuwa hatari
Maldin, Allesandro Nesta na Zambrota walikuwa wanaunda ukuta maarufu kama "ukuta wa chuma"
Ila walikaa mbele ya mnyama Gaucho
Ila Nesta nilimkubali yaan alivalishwa kanzu akaivua Gaucho akamvalisha kubwa zaidi teh
Heinze na EvraAlikua nani na nani, au Wes Brown na mmoja wao?