Kombinesheni ipi ilikuwa bora?

Messi kawatesa sana hao...hawatamsahau 😀😀 Nesta, Canavaro, Roberto carlos n.k wanaujuwa mziki wa Messi...aliwanyanyasa mammaee..

All in All 1-3 nilikuwa nawakubali...ila waliovaa magwanda mekundu hapana...kuna mmoja umemsahau Gabriel Heinz, huyu jamaa alikuwa balaa
 
Cannavaro na marterazi kikosi cha nazzuri 2006 FIFA world cup
 
Pepe na Ramos, hii combo ni noumar, uikute kwenye el classico ndio utajua namaanisha nini.

Nesta na Maldini hawa hawakuwa na roho mbaya kama hao jamaa pepe na ramos ila walitengebeza ukuta mgumu sana.

Keown na Adam nao pia walikuwa ni roho ya ukuta wa Arsenal na three lions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…