Kombinesheni ipi ya wachezaji unaikubali katika soka?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka;
1. Robben na Ribery katika wingi ya Bayern Munchen
2.Andreas Iniesta na Xavi Hernandez katika kiungo cha Barcelona
3.Rio Ferdinand na Nemanja Vidic katika beki ya Man Utd

karibu utujuze ya kwako iliyokuvutia.
 
Iniesta ananoga sana akicheza na xavi pale midfield wanakuwa maboss wa mechi husika they can dictate the game whatever way they like yaani zile Pasi fupi fupi huku wanasogelea goli la mpinzani.

Ukisikia timu imepiga Pasi 970 ujue xavi kapiga 670. Acha watu wazeeke tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
238084ba0ad1c33de20d0bb5715c9b0f.jpg
 
Mimi naikubali ya Damian Lubuva dimba la chini na Salum Jecha dimba la juu. Hapo ni mbele kwa mbele tupu!
 
Iniesta ananoga sana akicheza na xavi pale midfield wanakuwa maboss wa mechi husika they can dictate the game whatever way they like yaani zile Pasi fupi fupi huku wanasogelea goli la mpinzani.

Ukisikia timu imepiga Pasi 970 ujue xavi kapiga 670. Acha watu wazeeke tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
238084ba0ad1c33de20d0bb5715c9b0f.jpg
Moja kati ya kombinesheni bora ya wakati wote toka ulimwengu uumbwe.
 
Back
Top Bottom