Xavi na iniesta wanaijua tikitakaIniesta ananoga sana akicheza na xavi pale midfield wanakuwa maboss wa mechi husika they can dictate the game whatever way they like yaani zile Pasi fupi fupi huku wanasogelea goli la mpinzani.
Ukisikia timu imepiga Pasi 970 ujue xavi kapiga 670. Acha watu wazeeke tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka;
1. Robben na Ribery katika wingi ya Bayern Munchen
2.Andreas Iniesta na Xavi Hernandez katika kiungo cha Barcelona
3.Rio Ferdinand na Nemanja Vidic katika beki ya Man Utd
karibu utujuze ya kwako iliyokuvutia.
Moja kati ya kombinesheni bora ya wakati wote toka ulimwengu uumbwe.Iniesta ananoga sana akicheza na xavi pale midfield wanakuwa maboss wa mechi husika they can dictate the game whatever way they like yaani zile Pasi fupi fupi huku wanasogelea goli la mpinzani.
Ukisikia timu imepiga Pasi 970 ujue xavi kapiga 670. Acha watu wazeeke tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie naikubali sana kombinesheni ya Haji Manara, Jerry Muro na Masao Bwire.Mimi naikubali ya Damian Lubuva dimba la chini na Salum Jecha dimba la juu. Hapo ni mbele kwa mbele tupu!
umemsahau Thobias KifaruMie naikubali sana kombinesheni ya Haji Manara, Jerry Muro na Masao Bwire.
Hawa jamaa wakicheza pamoja, sipati picha timu pinzani kitawakuta nini!