Kombinesheni ipi ya wachezaji unaikubali katika soka?

Messi na Dany alves ni hatari sanaaa wakati messi akiwa na mpira wapinzani walijisahau na kuanza ku wa mark neymar na suarez basi hapo ndio alves alikua anapiga sana one two na la pulga jaribu kufatlia magoli mengi ya messi kama huyu bwege hujamkuta kahusika
 
-MSN Messi, Suarez & Neymar of Barcelona.
-BBC Berzagli, Bonucci & Chiellini of Juventus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…