Kombinesheni ipi ya wachezaji unaikubali katika soka?

Marek hamsik + Cavani NAPOLI
Gundogan + lewandowski DORTMUND
Sturridge + Suarez LIVERPOOL

Hizo zilikuwa hatari sana kila ukuta waliokutana nao ulikuwa unapata presha ukiwaona
 


Mtoa mada huwa nakukubali kweli post zako mara nyingi lakini leo umeniangusha kidogo. Unatuuliza kombineshen bora halafu unatuekea Vidic na Rio dah.
Hukuwah kuwaona Nesta na Cannavaro?

Ila tuache yote Xavi na Iniesta ni magical
 
Marek hamsik + Cavani NAPOLI
Gundogan + lewandowski DORTMUND
Sturridge + Suarez LIVERPOOL

Hizo zilikuwa hatari sana kila ukuta waliokutana nao ulikuwa unapata presha ukiwaona

sasa Sturridge na Suarez wamempa presha nani Bolton au?
 
sasa Sturridge na Suarez wamempa presha nani Bolton au?
Kubali kataa enzi zao walikuwa wanabadilishana hat trick kila wiki walikuwa on fire mkuu .... Walikuwa watamu sana pale mbele hasa kuwasiliana hapo kabla sturridge hajavunjika na kumuacha Suarez peke ake.

Kama ulifuatilia bundesliga kumeshawahi wahi kuwa na combination kma hiyo ya Edin dzeko na Grafite hatari sana!!
 

Mzee PL fan unaonekanwa, lakini sikushangai.
Uliwah kuwaona Ronaldo na Romario ? Ronaldo na Zamorano? Zamorano na Salas? Del piero na Inzaghi? Ortega na Batistuta? Romario na Bebeto?
 
Kuna ilee ya Chile
Ivan Zamorano na Salas
Kuna ileee ya Manchester United
Yoke na Cole
Kuna ileee ya Barcelona
Xavi, Iniesta, Messi
 
Ronald, Rooney na Tevez Au
Messi, Iniesta na Xhavi Hanandez.
 
Dwight York na Andy Cole
 
Mfumuko wa Bei Vs Vita ya Ukraine
 
JPM, OSOLO, MAJALIWA, hawa midfielder
Forward, Makonda vs sabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…