kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
mkapa na cilyl chami unga kilo sh 200
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka;
1. Robben na Ribery katika wingi ya Bayern Munchen
2.Andreas Iniesta na Xavi Hernandez katika kiungo cha Barcelona
3.Rio Ferdinand na Nemanja Vidic katika beki ya Man Utd
karibu utujuze ya kwako iliyokuvutia.
Marek hamsik + Cavani NAPOLI
Gundogan + lewandowski DORTMUND
Sturridge + Suarez LIVERPOOL
Hizo zilikuwa hatari sana kila ukuta waliokutana nao ulikuwa unapata presha ukiwaona
Kubali kataa enzi zao walikuwa wanabadilishana hat trick kila wiki walikuwa on fire mkuu .... Walikuwa watamu sana pale mbele hasa kuwasiliana hapo kabla sturridge hajavunjika na kumuacha Suarez peke ake.sasa Sturridge na Suarez wamempa presha nani Bolton au?
Kubali kataa enzi zao walikuwa wanabadilishana hat trick kila wiki walikuwa on fire mkuu .... Walikuwa watamu sana pale mbele hasa kuwasiliana hapo kabla sturridge hajavunjika na kumuacha Suarez peke ake.
Kama ulifuatilia bundesliga kumeshawahi wahi kuwa na combination kma hiyo ya Edin dzeko na Grafite hatari sana!!
Dwight York na Andy ColeMimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka;
1. Robben na Ribery katika wingi ya Bayern Munchen
2.Andreas Iniesta na Xavi Hernandez katika kiungo cha Barcelona
3.Rio Ferdinand na Nemanja Vidic katika beki ya Man Utd
karibu utujuze ya kwako iliyokuvutia.
Mfumuko wa Bei Vs Vita ya UkraineMimi nimewahi kukunwa na kombinesheni hizi zifuatazo katika soka;