Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naikumbuka hiiiii sanaa!Nakumbuka usiku ukiwa unaingia, watu wanatega jiwe badala ya mpira. Ukienda kuokoa unapiga jiwe.
Ha ha ha eti mchezo mbaya,ilikuwa tafsida ya kitoto toto.Enzi za kufanya mchezo mbaya kwenye kombolela nilikua sipendi kuzinga na katika mchezo wa baba na mama mara zote nlikuwa napenda kuwa baba
Hii michezo mingine ni fahari ya uswahilini mkuu.
Akijibu nalog off
Duu,ni kweli aseeNakumbuka usiku ukiwa unaingia, watu wanatega jiwe badala ya mpira. Ukienda kuokoa unapiga jiwe.
Mimi sijakulia uswahilini tatizo, nimekulia bushHii michezo mingine ni fahari ya uswahilini mkuu.
Kama ni sehemu nyumba ziko mbalimbali huu mchezo haiwezekani. Maana unahitaji kujificha nyuma ya nyumba, kwenye vichaka, nyumba ambazo hazijaisha, na watoto wanakuwa ni wa maeneo ya jirani. Sheria inazuia kujificha ndani ya nyumba.
Sijui nilikua mjingaaa!!!hata sikua najua mambo hayo mie tulikua tukicheza tunamaliza salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huko bush hii michezo ndiko inakopendeza zaidi,kuna maeneo mengi ya kujificha. Sema kila bush na michezo yake pia.
Dah! we jamaa umeshiriki huu mchezo kikamilifu mno.Kama ni sehemu nyumba ziko mbalimbali huu mchezo haiwezekani. Maana unahitaji kujificha nyuma ya nyumba, kwenye vichaka, nyumba ambazo hazijaisha, na watoto wanakuwa ni wa maeneo ya jirani. Sheria inazuia kujificha ndani ya nyumba.
Exactly!Ni kweli aisee halafu watoto wawe wengi sio watoto wenye umri mmoja mnakuwa watatu mtaa mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haila sasa hivi mkienda kucheza hammalizi salama!Ukubwa ni jalala walahi!(in ISIS voice)
Dah! we jamaa umeshiriki huu mchezo kikamilifu mno.
Kwa wale waliokulia vijijini kule burudani huwa nyingi zaidi. Tumecheza ngoma pia na ilikuwa sehemu ya burudani kila ikifika saa kumi jioni wazee wa kazi wanaliamsha.Ndiyo burudani zilizokuwepo mkuu.