KOMBOLELA:NILIONDOKA NA MPIRA KWAPANI.

KOMBOLELA:NILIONDOKA NA MPIRA KWAPANI.

Enzi za kufanya mchezo mbaya kwenye kombolela nilikua sipendi kuzinga na katika mchezo wa baba na mama mara zote nlikuwa napenda kuwa baba
 
Ni kweli aisee halafu watoto wawe wengi sio watoto wenye umri mmoja mnakuwa watatu mtaa mzima
Kama ni sehemu nyumba ziko mbalimbali huu mchezo haiwezekani. Maana unahitaji kujificha nyuma ya nyumba, kwenye vichaka, nyumba ambazo hazijaisha, na watoto wanakuwa ni wa maeneo ya jirani. Sheria inazuia kujificha ndani ya nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni sehemu nyumba ziko mbalimbali huu mchezo haiwezekani. Maana unahitaji kujificha nyuma ya nyumba, kwenye vichaka, nyumba ambazo hazijaisha, na watoto wanakuwa ni wa maeneo ya jirani. Sheria inazuia kujificha ndani ya nyumba.
Dah! we jamaa umeshiriki huu mchezo kikamilifu mno.
 
Ndiyo burudani zilizokuwepo mkuu.
Kwa wale waliokulia vijijini kule burudani huwa nyingi zaidi. Tumecheza ngoma pia na ilikuwa sehemu ya burudani kila ikifika saa kumi jioni wazee wa kazi wanaliamsha.
 
Back
Top Bottom