Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Naiona tu madukani ila sijawai ijaribuMimi ndio Nilikuwa agent wa kwanza kibaha
Ni nzuri kwakuwa haina kemikaliNaiona tu madukani ila sijawai ijaribu
Kemikali ipi mkuu si tulisema sisi ni nyagi tu.[emoji4][emoji4]Ni nzuri kwakuwa haina kemikali
Nitajaribu kwa kuwa haina kemikali.Ni nzuri kwakuwa haina kemikali
usikae mbali na msalani kama ni mara ya kwanzaeee🐒Nitajaribu kwa kuwa haina kemikali.
SIMBA akikosa nyama mkuuKemikali ipi mkuu si tulisema sisi ni nyagi tu.[emoji4][emoji4]
Basi ngoja nighairiusikae mbali na msalani kama ni mara ya kwanzaeee🐒
😀 mkuu kujaribu si mbaya usiogope na lakini hiyo si ni tahadhar au angalizo tyuuBasi ngoja nighairi
Maswala ya kuhudhuria chooni sana siyapendi😀 mkuu kujaribu si mbaya usiogope na lakini hiyo si ni tahadhar au angalizo tyuu
Mkuu naomba kama unaweza kupiga picha sehemu ya ingredients ili tuweze kujua yaliyomo ndani mwake.Ni nzuri kwakuwa haina kemikali
Ama WineAchana na hayo madude pata bia yako bariiiidi
Niko mbali subiri nirudiMkuu naomba kama unaweza kupiga picha sehemu ya ingredients ili tuweze kujua yaliyomo ndani mwake.
Ni biashara ya watu tu kwa GIA ya nguvu za kiume,ila infact haina kitu.View attachment 2884410Wakuu wa JF! Nani amewahi kutumia hiki kinywaji aina ya KOMBUCHA atupe uzoefu wake
Huu ni ukemiaNilipika sana hii kitu back then ukikosa pesa ya Beer. Hii ni Chai, weka Hamira na baadhi ya vionjo. Ifunike kwenye ndoo kwa siku kadhaa hivi.
Mzigo unakuwa umeiva kabisa.