Kombucha

Kombucha

Achana na hayo madude pata bia yako bariiiidi
Ama Wine
20230825_174108.jpg
 
Nilipika sana hii kitu back then ukikosa pesa ya Beer. Hii ni Chai, weka Hamira na baadhi ya vionjo. Ifunike kwenye ndoo kwa siku kadhaa hivi.
Mzigo unakuwa umeiva kabisa.
Huu ni ukemia
 
Hili kitu imeazia Zambia, na tahadhari tu kama hutaki kuwa mlevi, kaa mbali na hii kitu,wengi wamejidanganya kuwa ni non -alcoholic lakini mwisho mambo yamekuwa ndivyo sivyo wamekuwa walevi .Si kila non- alcoholic ya kwenye kopo la kinywaji wanamaanisha kile walicho andika,hasa hizi bidhaa za nchi zetu za kiafrika ambazo hazijali ubora kwa mlaji,wao wanacho anglia ni hela tu ni bora kuchukuwa tahadhari binafsi.
 
Faida ni nyingi kuliko hasara,

Watu wana siri aiseee,kumbe wengine walikuwa na mitambo midogo vya kuchakata kombucha na wakafirisika kimyakimya bila kujulikana.

Anyway ndo kwanza inaanza ,tuipe muda.
Rejea Mada
 
Back
Top Bottom