Komdomu hosteli vyuo vikuu zinafanya nini?

Komdomu hosteli vyuo vikuu zinafanya nini?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi.

Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel.

Nimetembelea vyuo vikuu vingi Tanzania nimeona hivyo ukiondoa Muslim University Morogoro jambo hilo halipo Swali.

Nani anatakiwa atumie na wapi?
 
Siku tembelea mgodini hasa ijumaa mchana utaona supply ya canter imapeleka condoms boxes za kutosha......ikifika saa 1 jioni wametoka job hutaamini.....wale wahudumu usafi etc wanapiga day worker hata watu 3....kabla saa 5 kwenda kulala kwa no 4.....ni balaa sanaa....ukiwa mke au mume mgodini andika maymivuuuu......nimeishi mwezi 1 niluooona adante.....siri ya kambi.......shidaaaa
 
😁😁sasa chuoni wapo watoto au? Usipopara mke chuo utakuja jf hapa kuanzisha thread ambapo mara nyingi too late,.wote washachukuliwa unabaki kutukana wamama hapa kwa makosa yako, hamna sehemu nyingine unayiweza kuwa na binti na ukawa na nafasi ya kumsoma sawasawa zaidi ya chuo
 
Kuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi.

Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel.

Nimetembelea vyuo vikuu vingi Tanzania nimeona hivyo ukiondoa Muslim University Morogoro jambo hilo halipo Swali.

Nani anatakiwa atumie na wapi?
Kwa ajili ya wakazi
 
Back
Top Bottom