Komdomu hosteli vyuo vikuu zinafanya nini?

Komdomu hosteli vyuo vikuu zinafanya nini?

Siku tembelea mgodini hasa ijumaa mchana utaona supply ya canter imapeleka condoms boxes za kutosha......ikifika saa 1 jioni wametoka job hutaamini.....wale wahudumu usafi etc wanapiga day worker hata watu 3....kabla saa 5 kwenda kulala kwa no 4.....ni balaa sanaa....ukiwa mke au mume mgodini andika maymivuuuu......nimeishi mwezi 1 niluooona adante.....siri ya kambi.......shidaaaa
Mengine si ya kusema yote mkuu. Ni mwiko kutoa siri za kambi
 
Kuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi.

Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel.

Nimetembelea vyuo vikuu vingi Tanzania nimeona hivyo ukiondoa Muslim University Morogoro jambo hilo halipo Swali.

Nani anatakiwa atumie na wapi?

Kwa vile hizo siyo nguo kama mashati, haipo shaka wanaozichukua zinawalinda na maambukizi.
 
Kuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi.

Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel.

Nimetembelea vyuo vikuu vingi Tanzania nimeona hivyo ukiondoa Muslim University Morogoro jambo hilo halipo Swali.

Nani anatakiwa atumie na wapi?
Kwani ukinunua nyama buchani hadi uipikie hapo hapo?
 
Wanatumia kama chandarua usiku?

Kujilinda siyo usiku na ulinzi si vyandarua tu. Barakoa, gloves, sweta, boots, condoms, masks, ngome, apron, ova roli vyandarua, nguo, coats, goggles nk ni baadhi ya protectives kila kimoja na kazi yake.

Hakuna universal protectives.

Ndugu ndiyo tofauti ya binadamu na wanyama wengine ilipo.
 
Back
Top Bottom