Kwani hakuna huko?Beba itakusaidia huko uendako sio lazima zitumike humo humo.
Hawapati free na wengi hawana hela ya kununua kondom mara kwa maraKwani hakuna huko?
Kwani pipi hio hata ununue mara kwa mara?Hawapati free na wengi hawana hela ya kununua kondom mara kwa mara
🤣🤣🤣Nawe ni msumbufu 🙌Kwani pipi hio hata ununue mara kwa mara?
NdioKwani pipi hio hata ununue mara kwa mara?
Muuliza swali ni muumini wa dini ya khaki,ndo maana kasiFU chuo chaokwamba wamesema ukichukua unaenda kufanyia kwenye hostel
kwamba hata ofisi,hospital, ofisi za kijiji/mtaa vyoo vya umma na baadhi zenye mabox ya kondom ukichukua unafanyia ofisini
swali la kipumbavu
Hostel unalala muda wa kutoka saa ngapi?kwamba wamesema ukichukua unaenda kufanyia kwenye hostel
kwamba hata ofisi,hospital, ofisi za kijiji/mtaa vyoo vya umma na baadhi zenye mabox ya kondom ukichukua unafanyia ofisini
swali la kipumbavu
Kwa ajili ya wakaziKuna sheria ktk hostel za vyuo vikuu usiingize mwanamke au mwanamme ktk kufanya mapenzi.
Cha ajabu ukipita mapokezi histel maboksi ya condom yamejaa kwa ajili ya watu wa hostel.
Nimetembelea vyuo vikuu vingi Tanzania nimeona hivyo ukiondoa Muslim University Morogoro jambo hilo halipo Swali.
Nani anatakiwa atumie na wapi?