KOMENTI KWA LUGHA YA KWENYE DALADALA

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Habari za wakati huu wakuu, nielekee moja kwa moja kama kchwa cha habari kinavoelekeza, na imani miongoni mwetu n watumiaji wazuri wa daladala, komenti kwa kutaja/kutoa kauli ulizowahi kuzisikia kwenye daladala naanza na hii
"IKISIMAMA NTAKUPA"

Endelea....
 
Hadi tarehe ya leo bado mnapanda daladala ?
 
"Msipande kwanza, subirini wote wanashuka, anabaki dereva pekeake."---daladala za kuelekea mbezi zikiwa zinashusha watu stendi ya mawasiliano.
 
USITOE KUCHWA INGIZA NDANI (hapo anarudi rivas)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…