KOMENTI KWA LUGHA YA KWENYE DALADALA

KOMENTI KWA LUGHA YA KWENYE DALADALA

"Dah Leo tuna Viwashell kibaaaaao" hapo konda anamwambia dereva abiria wako na watoto wengi waliojaza nafasi.
 
We mamdogo uliesuka shikilia bomba upande mmoja
 
Konda ; Oya Naomba Nipe Changu
Jamaa; Utapewa Mbele Hapo
 
Hoya! wa kusoma,

subiri apande ana mtoto.

gari haijai kama ndoo ya maji.

kula nyomi,

tumpeleke mswaki,

utapata tabu sana, wanga waleeee,
 
Back
Top Bottom