Komesha harufu kali ya miguu kwa kutumia VODKA

Kwan leo umekutana na nini?,mbona unalalamikia harufu ya miguu sanaa😆😆😆
Nimekutana na treni linapita hewani
Kwema Mtumishi, niliona mtu Posta ya Dar leo kama wewee
Nilikuwa nimepotea, kumbe ukipanda Mwendokasi ya Gerezani unaenda Kariakoo, mi nikadhani hili litakuwa linaenda Segerea, nikaamua nipende la Kivukoni nishuke tu Posta ya zamani
 
Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua.

Gentleman mimi nilikuwa na Mycota powder nikanyunyiza, kisha nikaenda kuzianika juani. Demu aliona aibu sana, akawa anaomba msamaha kwa kuchafua hali ya hewa.

Nikachemsha maji kwenye birika la umeme, nika dilute na ya baridi likapatokana joto fulani hivi muruwa sana lenye uwezo wa kuamsha na kuchochea moto wa mapenzi fasta.

Nikachukua shower gel yangu ya Piere Cardin, nikaidumbukiza miguu yake kwenye beseni lililokuwa na yale maji matamu. Nikaweka unyunyu mle wa Kiitaliano, chumba kizima harufu nzuri ikatawala.

Nikaanza kumuosha miguu huku nikim massage na kum tantalise, mara nimeshika hapa mara pale, demu anapiga tu kelele za mara.

Akapigwa dodoki la kufa mtu.

Ukitaka demu akuheshimu, mfanyie wema kwenye madhaifu na mapungufu yake

View attachment 2518883unaweza u
Sahihi
 
TIBA MBADALA NA BUJIBUJI
Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali.

Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako.

Chukua buku mbili yako, ingia kwenye kiduka cha Mangi, agiza pombe yoyote kali, hizi za buku mbili mbili. Ukiweza chukua na pair moja ya soksi mpya.

Vua ndula zako osha miguu kisha iache ikauke. Tumia leso au pamba kupaka hiyo pombe miguu yako . Paka na paka tena hadi miguu ikate kabisa harufu. Vaa soksi yako mpya kisha nenda ukweni utakuja nishukuru baadaye.
View attachment 2518859
Pombe kali huua bacteria na kuondoa unyevu uliopitiliza. Pia waweza kumimina pombe kali kwenye chupa ya spray na ukawa unaipulizia miguu yako mara kwa mara na harufu itakukimbia.

Pia waweza kuimimina pombe kali kwenye beseni kisha ukadumbukiza miguu yako na kuiloweka humo kwa dakika 1O hadi 15. Toa miguu majini, ianike sehemu yenye hewa ya kutosha na kavu, iache miguu ikauke. Ikikauka vaa soksi zako kavu na safi, kisha nenda popote ukafurahie maisha.
Hahahhahaha umesahau mkuu angalizo hala hala jamani tumia chombo cha usafiri yani upelekwe maana miguu inakuwa imelewa yaani nyayo hazina ushirikiano na vidole yanii unakuwa umelewa nusu(half body drunk)hahaha ni kituko juu upo serious chini umelewa
 
Haha hah
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
TIBA MBADALA NA BUJIBUJI
Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali.

Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako.

Chukua buku mbili yako, ingia kwenye kiduka cha Mangi, agiza pombe yoyote kali, hizi za buku mbili mbili. Ukiweza chukua na pair moja ya soksi mpya.

Vua ndula zako osha miguu kisha iache ikauke. Tumia leso au pamba kupaka hiyo pombe miguu yako . Paka na paka tena hadi miguu ikate kabisa harufu. Vaa soksi yako mpya kisha nenda ukweni utakuja nishukuru baadaye.
View attachment 2518859
Pombe kali huua bacteria na kuondoa unyevu uliopitiliza. Pia waweza kumimina pombe kali kwenye chupa ya spray na ukawa unaipulizia miguu yako mara kwa mara na harufu itakukimbia.

Pia waweza kuimimina pombe kali kwenye beseni kisha ukadumbukiza miguu yako na kuiloweka humo kwa dakika 1O hadi 15. Toa miguu majini, ianike sehemu yenye hewa ya kutosha na kavu, iache miguu ikauke. Ikikauka vaa soksi zako kavu na safi, kisha nenda popote ukafurahie maisha.
Nimefanya ivo lakini bado Navaa viatu Mda mrefu juli gaan na mazingira ya kazi ila iyo haruf Inanikera sana kuna mtu kanambia nipake sabuni inayoitwa be you ila sjaipata madukani kariakoo msaada kwa anaejua zinakopatikana bx
 
Back
Top Bottom