Komredi Kawaida: CCM Ndio Chama Pekee Kinachoweza Kuleta Matumaini kwa Wananchi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo kujali mtoto anapitia Changamoto gani aidha ana ulemavu, njiti, au maradhi nk, ila mzazi huyo yupo tayari kuwa faraja na mfariji kwa mtoto wake wakati wote.

Hivyo basi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubali na kimeonyesha kuwa mfano wa mzazi bora kwa mwanae ambaye yamkini alikosa matumaini hapo awali lakini sasa mzazi yupo kwa ajili ya kumpa matumaini, faraja na kumsaidia pale ambapo ana changamoto katika hali na mazingira yoyote.

Na ndio maana ukiangalia historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) toka kuzaliwa kwake imekuwa na mchango mkubwa sana katika Nchi yetu na hata nje ya nchi kwa kuwa msaada wa kiukombozi wa nchi nyingi za kiafrika kuweza kujitawala na kujiongoza katika mambo mbalimbali, hivyo toka enzi hizo baada ya uhuru kutoka TANU mpaka kufikia CCM mengi yamefanywa na Chama hiki, na hata nchi jirani zinatambua mchango wa Chama hiki, richa ya mengi ambayo Chama hiki kimefanya lakini bado kinaendelea kufanya kwa kuhakikisha kinaleta matumaini kwa watu wake.

Hivyo watanzania niwaombe tuendelee kuwa na imani na Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana toka enzi hizo hakijawai kuwatupa hivyo hakitaweza kuwatupa shimoni leo na kesho bali kitakuwa mwanga kwenu daima.

#KaziIendelee.
#KulindaNaKujengaUjamaa.

Imetolewa na;
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa.

WhatsApp Image 2023-07-25 at 00.17.08.jpeg
 
View attachment 2698882
Kwani lini tulishawahi kuwa na mzazi tofauti?
 
Back
Top Bottom