johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie Majukumu Rais Samia peke yake kwani Nchi Siyo mali ya Rais Bali Rais anawajibika kwenye kutoa Uongozi
Naye mbunge wa Chato Dr Kalemani amemshukuru mzee Kinana na amemwomba awafikishie salamu zao kwa mh Rais Samia na amwambie Wako pamoja naye hivyo Rais Samia atembee kifua mbele
Source ITV habari