Meshack Kuya
New Member
- Sep 6, 2022
- 2
- 0
Hawana lolote hao, si kawaida yao kung'ata na kupuliza?
Acheni kudanganyika kitoto basi
Acheni kudanganyika kitoto basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Komredi Abdulrahaman Kinana amewataka wabunge kuwa wakali na mambo ya wananchi na kuiwajibisha Serikali.
Kauli hii ya Mzee Kinana inatafsiri gani katika kipindi hiki ambacho Bunge linatupiwa lawama na wananchi kwa kupitisha tozo za simu, tozo katika miamala ya kibenki pamoja na kubariki mipango mbalimbali ya Serikali iliyosababisha hali tulionayo sasa.
Pia usimamizi mbovu wa wabunge katika kuibana Serikali na kusababisha wananchi kukabiliwa na mfumko mkubwa wa bei za bidhaa kutokana na wabunge kushindwa kuiwajibisha Serikali.