johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna Mbunge wa CCM atagusa hili, Ubunge wao unategemea HISANI ya Mwenyekiti.Waanze na hili la Tozo za mihamala.kosa kubwa tulifanya kutowapa ubunge wapinzani.
Hatimaye sukuma gang wasalimu amri, waomba poo kwa Rais SSH kupitia Kinana. Njaa au unafiki?Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie Majukumu Rais Samia peke yake kwani Nchi Siyo mali ya Rais Bali Rais anawajibika kwenye kutoa Uongozi
Naye mbunge wa Chato Dr Kalemani amemshukuru mzee Kinana na amemwomba awafikishie salamu zao kwa mh Rais Samia na amwambie Wako pamoja naye hivyo Rais Samia atembee kifua mbele
Source ITV habari
Danganya totoKomredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie Majukumu Rais Samia peke yake kwani Nchi Siyo mali ya Rais Bali Rais anawajibika kwenye kutoa Uongozi
Naye mbunge wa Chato Dr Kalemani amemshukuru mzee Kinana na amemwomba awafikishie salamu zao kwa mh Rais Samia na amwambie Wako pamoja naye hivyo Rais Samia atembee kifua mbele
Source ITV habari
matokea ya meko baada ya kubaka uchaguziWaanze na hili la Tozo za mihamala.kosa kubwa tulifanya kutowapa ubunge wapinzani.
Tatizo kubwa ni ile kamati ya chama ya kupitisha majina ya wagomea huwa haijali matokeo ya kura za maoniKomredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie Majukumu Rais Samia peke yake kwani Nchi Siyo mali ya Rais Bali Rais anawajibika kwenye kutoa Uongozi
Naye mbunge wa Chato Dr Kalemani amemshukuru mzee Kinana na amemwomba awafikishie salamu zao kwa mh Rais Samia na amwambie Wako pamoja naye hivyo Rais Samia atembee kifua mbele
Source ITV habari
stupid, watakuwa wakali wakati wanategemea ccm iwachague kupata ubunge? Stupid tena na tena!Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie Majukumu Rais Samia peke yake kwani Nchi Siyo mali ya Rais Bali Rais anawajibika kwenye kutoa Uongozi
Naye mbunge wa Chato Dr Kalemani amemshukuru mzee Kinana na amemwomba awafikishie salamu zao kwa mh Rais Samia na amwambie Wako pamoja naye hivyo Rais Samia atembee kifua mbele
Source ITV habari
Hapo Mwanza bavicha kuweni na adabu Komredi Kinana anataka utulivustupid, watakuwa wakali wakati wanategemea ccm iwachague kupata ubunge? Stupid tena na tena!
Aibe meno ya temboHapo Mwanza bavicha kuweni na adabu Komredi Kinana anataka utulivu
Kama mpaka leo wabunge hawajui wajibu wao tuna safari ndefuMakamu Mwenyekiti wa CCM, Komredi Abdulrahaman Kinana amewataka wabunge kuwa wakali na mambo ya wananchi na kuiwajibisha Serikali.
Kinana anajua wazi hiyo kauli yake haitekelezeki, zama hizi ambazo Rais ameliweka bunge na Spika wake mfukoni, nao wamekubali kuwekwa mfukoni, ni ngumu kufanya anavyotaka Kinana.
Mfano mzuri wa hicho anachokizungumzia Kinana ni nondo za Mpina kule bungeni, tazama anavyouliza kila siku na aina ya majibu anayopewa toka kwa CCM wenzake, wengine mpaka wanamtisha 2025 hatarudi bungeni, jamaa bado wana utumwa mkubwa sana wa kifikra.