johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wasiyempenda karudi!Makamanda watachukia.
Siasa ni sayansi mkuu!Polepole anapokea wanachama wapya huku kila siku mkiwaza mbinu mpya za kuiba kura, mmeanza kuwanunua hao "raia" toka 2016 mwishowe ulipofika uchaguzi mkuu 2020 mkaona mje na kura zenu kwenye mabegi meusi.
Matumizi ya mabegi meusi ile sio sayansi, ule ni ushirikina.Siasa ni sayansi mkuu!
Akaishia kufoji saini ya Katibu mkuu wa Ufipa na sasa ametimba mjengoni!Matumizi ya mabegi meusi ile sio sayansi, ule ni ushirikina.
Endeleeni kufurahia wakati uchumi wa nchi unakwenda shimoni kwa kukosa au kukimbiwa na wawekezaji. Nani aje kuwekeza tz kwa sasa ambapo one-man show ndo inaongoza nchi!Wasiyempenda karudi!
Naona umeanza kutoa siri zenu za ofisini, sasa mwambie Ndugai kule bungeni aache zile kelele zake.Akaishia kufoji saini ya Katibu mkuu wa Ufipa na sasa ametimba mjengoni!
Siasa ni ujanja pia!
Wewe si unashangilia yale mabegi yake !Naona umeanza kutoa siri zenu za ofisini, sasa mwambie Ndugai kule bungeni aache zile kelele zake.
Duniani kote Kiongozi huwa ni mmoja tu naye hubeba maono.Endeleeni kufurahia wakati uchumi wa nchi unakwenda shimoni kwa kukosa au kukimbiwa na wawekezaji. Nani aje kuwekeza tz kwa sasa ambapo one-man show ndo inaongoza nchi!
Usitumie nguvu nyingi sana kumuonyesha kipofu njia.Duniani kote Kiongozi huwa ni mmoja tu naye hubeba maono.
Kama unabisha muulize Lowassa " Boys to men" iliishia wapi?
Au muulize Ruto wa Kenya kama UhuRuto badi ipo!
Hapana.Kuna uwezekano hao wanachama wapya ndo wale wabunge 300+ walioshinda Uchaguzi Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chadema haipendi wasomiHapana.
Hawa ni wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali!
Makamanda watachukia.
Aisee!!! Siri zimeanza kufichuka sasa.Akaishia kufoji saini ya Katibu mkuu wa Ufipa na sasa ametimba mjengoni!
Siasa ni ujanja pia!
Tuko kwenye uhalisia bwashee!Tumuongezee 300 tena wawe 600?
Mia 3 ndogo sana...
Hakunaga siri chini ya jua bwashee ni kujidanganya tu!Aisee!!! Siri zimeanza kufichuka sasa.
Kumbe wizi nao umeingia kwenye sayansi siku hizi??Siasa ni sayansi mkuu!