Komredi Polepole apokea wanachama wapya 300 wengi wao wakitokea CHADEMA!

Komredi Polepole apokea wanachama wapya 300 wengi wao wakitokea CHADEMA!

Watapata tabu sana namna ya kupata kick awamu hii ... watakula nyasi
 
Yani hapa kama nawaona watoto wa ufipa!!!
Mimi kama mwenezi wa hapa jukwaani, mpango wangu ni kumnunua erthrocyte,buji,de noj,bak,sky,don,boban, na makada wengine ili,hapa jukwaani iwe kazi moja tu!!... kusifu na kuabudu!!😂😂😂😂
 
Akaishia kufoji saini ya Katibu mkuu wa Ufipa na sasa ametimba mjengoni!

Siasa ni ujanja pia!
Nashukuru leo umekiri kwamba saini ya mnyika ilifojiwa 😁 😁 😁 ,ukweli huwa unachelewa kufika lakini mwisho wa siku hufikaga.Asante sana
 
Nashukuru leo umekiri kwamba saini ya mnyika ilifojiwa 😁 😁 😁 ,ukweli huwa unachelewa kufika lakini mwisho wa siku hufikaga.Asante sana
Sasa kama JJ Mnyika amekataa kuandika barua unadhani maana yake ni nini?!
 
Bado watakuja wengi sana wamechoshwa na ubadilishaji wa gear angani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
CCM pamoja na kujisifu kina Wanachama mil.15 bado kinaiba kura za wapinzani Aibu
 
Huo ni usanii tu, ccm haihitaji wanachama kwani wakati wa kura wanajua hao watu hawawapi kura ndio maana inabidi wapore tu ushindi kwa mtutu.
 
Back
Top Bottom