Komredi rudi acha maboksi

Komredi rudi acha maboksi

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Mimi ni mbeba maboksi for life! Sasa kuhitimu kumetoka wapi?

Naomba komredi urudi home maboksi yatakuumiza njoo ugombee mwakani rudi komredi, tunahitaji mchango wako kwa hali na mali rudi home.
 
haya maboksi ni maboksi tu ya kawaida ama??? palipo na fidel and Xspin itakuwa ni 'maboksi' yasiyo ya kawaida. hebu nielimisheni kabla 2010 haijaingia!!!
 
haya maboksi ni maboksi tu ya kawaida ama??? palipo na fidel and Xspin itakuwa ni 'maboksi' yasiyo ya kawaida. hebu nielimisheni kabla 2010 haijaingia!!!

Kuna mabox yenye valuu insaidi! Hayo ndiyo mazuri zaidi! Hata mi huwa nayabebaga pale zero pub. Ila yale yenye mitumba ya watu weupe ndio utata unapoanzia. Yu knoo woram seyying?
 
hapo umenikuna

Hebu fafanua kiblurei! Manake kiswahili watu hawachelewi tafsiri vingine. Hakafu hiyo avatar yako bana! Hebu ifanyie maarifa kidogo!
 
Kuna mabox yenye valuu insaidi! Hayo ndiyo mazuri zaidi! Hata mi huwa nayabebaga pale zero pub. Ila yale yenye mitumba ya watu weupe ndio utata unapoanzia. Yu knoo woram seyying?

hamna bwana sasa ndio kabisa nimezama in the amazon.....use simple english tafasari.
 
hamna bwana sasa ndio kabisa nimezama in the amazon.....use simple english tafasari.

He umezama Amazon angalia usije ukaliwa Shishi hicho ni Kibrulay
 
sasa mkwe....aka... mpenzi tena nachajiwa tuition? jamani mbona hili lataka kikao cha wazeee!!!!!

Hili swala linazungumzika tu anakubebesha maboksi biashara imekwisha.
 
sasa mkwe....aka... mpenzi tena nachajiwa tuition? jamani mbona hili lataka kikao cha wazeee!!!!!

Hahahaha! LOL! Naona watoto wetu watarithi kitu kizuri sana!
 
Back
Top Bottom