Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Kijana Ibraah tangu ajiunge Konde Gang kama vile yupo shimoni. Alivuma kwa kasi na kupotea, hivi sasa hajulikani aliko, shabiki zake hawajui hali ya kipaji chake pengine kinapotea ama lah.
Konde Gang yapi yanayowasibu mpaka inafikia hatua ya kijana wetu kupotea kimuziki. Ikiwa lebo yenu imeshindwa kusimamia wasanii basi mruhusuni kijana wetu atoke ili akatafute lebo nyingine kwasababu haina maana kumshikilia kijana huyu ikiwa hamuendelezi kipaji chake.
Ibraah ni kijana mtaratibu sana na msiri wa yale yote mabaya anayopitia hana mtetezi wa kumsaidia kulalamika enyi kiwanda cha muziki wa Tanzania msaidieni huyu kijana.