Konde Gang fafanueni aliko Ibraah

Konde Gang fafanueni aliko Ibraah

Konde hana time na label kwa wasanii wapo,alikurupuka kuanzisha label bila mipango na mtaji matokeo yake anamchomesha dogo mahindi.

Hizi label tumwachie Mondi sababu ana moyo wa kumuamini na kuwekeza kwa msanii,kitu ambacho label nyingine wameshindwa.
Chawa tufufue ule Uzi wako?
 
Unajua mkataba ukoje ukivunja mkataba konde boy ni lazima ulipe billion 2 sasa kijana hiyo hela ataitoa wapi?
Nisawa na kaenda na ndoo ya lita 20 kukamua ng'ombe anayetoa lita moja tu. Amwachie dogo aondoke kusaka hifadhi nyingine kijana huyu wanampoteza tu
 
Kikundi cha wahuni wa kimakonde yaani Konde Gang 😂😂😂😂😂
Maniner walahi
boss yuko bsy anajipambania asipotee atamkumbuka dogo saa ngap!
 
Kikundi cha wahuni wa kimakonde yaani Konde Gang 😂😂😂😂😂
Maniner walahi
boss yuko bsy anajipambania asipotee atamkumbuka dogo saa ngap!
Amwache akatafute pakutokea
 
Back
Top Bottom