Mungu awayangulie ameen inshalh 😆😆😆Kupitia ukurasa wake wa isntagram Harmonize amedhibitisha kuondoka Kwa wasanii wake wawili Killy pamoja na Chid ,
View attachment 2382797
Kwa upande wa Killy namkubali Sana , nashauri aende wasafi , ana uwezo mkubwa Sana wa utunzi wa nashauri Ila promo inamuangusha
Ni wewe ft harmonize utabaki kuwa wimbo wangu pendwa
Nami naunga mkono hoja, Kelly aende wasafi........si mwanachama wa hilo genge lkn aende pale atafanikiwa. Huyu bosi dogo wa kimakonde kila siku yupo na kajala.....watatayarishwa myda gani?!!!!!!Kupitia ukurasa wake wa isntagram Harmonize amedhibitisha kuondoka Kwa wasanii wake wawili Killy pamoja na Cheed ,
View attachment 2382797
Kwa upande wa Killy namkubali Sana , nashauri aende wasafi , ana uwezo mkubwa Sana wa utunzi wa mashairi , Ila promo inamuangusha
Ni wewe ft harmonize utabaki kuwa wimbo wangu pendwa
Wasafi watu wangekuwa wanaenda tu basi kila msanii angeendaNami naunga mkono hoja, Kelly aende wasafi........si mwanachama wa hilo genge lkn aende pale atafanikiwa. Huyu bosi dogo wa kimakonde kila siku yupo na kajala.....watatayarishwa myda gani?!!!!!!
Cheed ni cheed benz au cheed gani huyu?Saiz Cheed ndo atajua kwann usiku ni mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saiz Cheed ndo atajua kwann usiku ni mrefu