Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha ujinga muulize daktari wako ina maana gan na mazara nn? Tatizo watu wengine mnapenda majungu badala ya kumuuliza mtaalamu unaleta majungu utazani madaktari hawaelezi haya mambo. acha majungu
Asanteni sana kwa ushauri ndugu zangu yan mpaka nimeogopa kwa kwel
Mimi mwenyewe nimekutwa na tatizo kama lako ila nipo wiki ya 33 na naomba nimegoogle na kuelewa ingawa ntamuona my dr this week na nilivyoelewa ni kama ifuatavyo;
Kondo/placenta kwa kawaida inaweza kuwa positioned nyuma/ posterior au mbele/anterior. Posterior ni normal position na inamaanisha inaanza kondo then mtoto.
Anterior inamaanisha inaanza mtoto then kondo na inasababishwa na factors nyingi, ila sasa it depend kama ni anterior up or lower.
Anterior up haina madhara yoyote na unaweza kujifungua vaginally ila kama utatakiwa kujifungua na kisu dr anatakiwa awe makini cause kumbuka kondo imetangulia anaweza kuikata kondo na kusababisha overbleeding. Na disadvantage nyingine ni utachelewa kumsikia.mtoto akicheza tofauti na mtu mwenye posterior placenta na hata ukimsikia sio strong sana, kumbuka kondo ndo ipo mbele mtoto nyuma.
Anterior lower hii ndo mbaya cause inaziba cervix hvyo there is no way utadeliver normal.lazima kisu/ c-section, kwa kuwa kondo inatangulia kwenye njia chini badala ya mtoto.
NB: all in all hutakiwi kupanick every pregnancy come.on its own way kutangulia au kutokutangulia kwa kondo hakuna madhara yoyote kwa mtoto as long as ultrasound haioneshi any abmormalities kwa mtoto, na siamini kama bedrest ni important kama dr hajakushauri sio muhimu. Hope nimesaidia kwa hilo
Wengi hupewa bed rest cjajua kwa nini lakini nahc labda risk ya pre mature labour ni kubwa ukiwa na kondo mbele..so jitahidi upumzike vya kutosha na epuka kazi ngumu....pia ucjali Mungu yupo atakusaidia
Pumzika sana usibebe vitu viZito na kama uko kazini ni bora uchukue likizo ukae nyumbani mgegedo pumzika pia kula vitu vyakuongeza dama na ufate masharti ya dr kwabi ukifanya mchezo utampoteza huyo mtt
Ushauri wa kupumzika hauna nafasi kwenye placenta praevia. By the way, neno ""PUMZIKA" ni too general na halitoi ujumbe wowote useful kwa mgonjwa. Vilevile ushauri kama "usibebe vitu vizito" hauna manufaa kwa mgonjwa zaidi ya kumchanganya. Kitu kizito ni nini? Je, wajawazito wasiokuwa na placenta praevia ni sawa wakibeba vitu vizito? je, wanawake ambao sio wajawazito ni sawa wakibeba vitu vizito?
Tujitahidi kutoa ushauri ambao ni tangible and specific!
Ni muhimu mgonjwa akijua kuwa kuna placenta nyingi huwa ziko chini lakini kadri ujauzito unavyokuwa placenta nayo inapanda juu na baadae inakuwa ya kawaida kabisa na mama anaweza kuzaa kwa njia ya kawaida. Kwahiyo cha msingi zaidi ni kufanyiwa check up ili mgonjwa apewe ushauri wa njia na mahali pa kujifungulia, pamoja na viashiria vyote vya hatari.
Ulipewa zoezi gani dada yangu?Pole dada mi nina mimba miez 6 nina tatizo hilo pia,kondo kutangulia kunasababishwa na vitu vingi baadhi ni kama uliwahi kuzaa kwa operation,na pia abortion,nilishauriwa kutokufanya kazi ngumu,kutosafiri umbali mrefu,kutofanya mapenz,kutoingiza kitu chochote kile ukeni.madhara yake ni kwenye presentation ya mtoto, hatokaa vizuri pia inAweza sababisha mtoto kushindwa kugeuka mwishoni,pia saa ya kusukuma mtoto inaweza tangulia kutoka kondo badala ya mtoto of which is not healthy for the baby ama for u hapo kisu kinakuchungulia,jitahidi kila mwezi kupiga utra sounuone kama linazid kushuka ama linarud normal,mi nimepewa zoezi la kufanya kila siku linalosaidia kondo kurudi kawaida.
Thnks kwa maelezo zaidi as I said mm niligoogle tu bado sijaonana na gyno anipe ufafanuzi.
Ila nina swali nataka kukuuliza kwa experience yako
1) kwa kuhesabu nipo wiki ya 31 na ultrasound za mwanzo zilinisapport, ila nimepiga ultrasound inaniambia nipo wiki ya 33 na 3 days, why is this the case?
2) kwa wiki nilizonazo mtoto anatakiwa awe amegeuza kichwa but ultrasound inasema yupo transverse? Je atageuka au niexpect nn?