Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 May 18, 2012 #1 Kuna upungufu wa kondom za kike madukani kibaha sio kwa sababu ya kuongezeka kwa matumizi sahihi ya kondom hizo bali kwa sababu ya urembo.Nb :raba yake ya juu hutoa reflections za rangi tofautitofauti inapopigwa na mwanga wa jua.source Bbc
Kuna upungufu wa kondom za kike madukani kibaha sio kwa sababu ya kuongezeka kwa matumizi sahihi ya kondom hizo bali kwa sababu ya urembo.Nb :raba yake ya juu hutoa reflections za rangi tofautitofauti inapopigwa na mwanga wa jua.source Bbc
K'T Member Joined May 9, 2012 Posts 32 Reaction score 7 May 18, 2012 #2 huu urembo sasa unaelekea pabaya
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 May 18, 2012 #3 Tafadhali km inawezekana tupe picha ya mkono wa mama uliojiremba kwa 'kondom'