Kondom za kike zageuzwa bangili kibaha

Kondom za kike zageuzwa bangili kibaha

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
5,425
Reaction score
5,227
Kuna upungufu wa kondom za kike madukani kibaha sio kwa sababu ya kuongezeka kwa matumizi sahihi ya kondom hizo bali kwa sababu ya urembo.Nb :raba yake ya juu hutoa reflections za rangi tofautitofauti inapopigwa na mwanga wa jua.source Bbc
 
Tafadhali km inawezekana tupe picha ya mkono wa mama uliojiremba kwa 'kondom'
 
Back
Top Bottom