Ila katika hali ya sasa, inaonekana jinsi mume alivyo makini... sababu mechi viwanja vya ugenini mara mojamoja zipo, sasa mke alitaka awe anacheza pekupeku au??? :coffee:Kuna familia moja hapa niishipo ndoa yao imevunjika baada ya mwanamke kukuta pieces 2 za kondomu ndani ya suruali ya mume wake. Hadi sasa ni mwezi mmoja umepita tokea kizungumkuti hicho kitokee. Juhudi za kusuluhisha tatizo hilo zinaendelea nami nikiwemo, lakini bado mke hajaridhia kurudi. Je, wanaJF huu ni wivu au ni umakini wa mwanamke ndani ya ndoa yake??? Nawasilisha!!! Karibu!!!
Huyo mke alikuwa anataka kuachika muda mrefu kwa hiyo ndo amepata nafasi. lakini na wewe kaka kwanini usiwe makini? Vikondomu vyenyewe vya mia tano tano kwanini uvitunze mfukoni? Pumbavu - wakati wako wa kulala kisungura ndo umefika
Haaaaa! Hizo ndoms zimefata nini sasa.
Mbona wanaume mnapenda kutuchokoza lakini?
Zilikuwa zimetumika au?
Huyo mzee kajiteteaje sasa? Au amebaki anang'aa sharubu?

Unamaanisha kuwa ni Ruksa ku-do majamboz nje ya ndoa???????????
Hakuna cha wivu hapo,ndo umakini wenyewe,wanaume acheni uzinzi nje ya ndoa zenu,kama huwezi usioe,mnakula viapo mbele ya Mungu then mnaendelea na uchafu wenu ndani ya ndoa......ila bora na huyo anajali,mingine inasahau hata kwamba inahatarisha maisha ya wake zao,inaweza waacha watoto yatima na kuwapa shida wale wote wanaomtegemea na kumtegemea huyo mama.......
The bad thing ni kuwa sasa hivi ni kitu cha kawaida.......halafu mbaya ni pale unapokutana na jianaume linalo-assume na wewe unacheat..:A S 20:
Mkuu, samahani, siyo mimi, ila natumika kama mmoja wa washauri ili kunusuru ndoa tu. Jamaa anadai alizileta makusudi kwa ajili ya kupanga uzazi. Na zilikuwa kwenye pakti ila only 2 pieces!!!