Kondomu yavunja ndoa. Huu ni wivu au umakini katika ndoa???


Kondom hunyesha kuwa unajali!!
 
Sie ofisini kwetu mara kwa mara wanagawa condom sasa wale wababa sjui nao wakienda nazo home wataachwa???!Au wanazitupa. haya mambo bwana ni magumu. Ila mimi kama mke ningekuja juu ila badae ningepata ahueni atleast anatumia condom
 
this is not fair, kwa nini wengi mmeegemea kwa mwanamke? what if mume akikuta condom kwenye pochi ya mkewe?
 
Kichwa cha habari hakiendani na mada.

:focus: Hivi unaweza kuvumilia kuona mwenzako anatoka nje ya ndoa na roho isikuume??
Lazima utakuwa punguani kwa kweli haaaaaaaaaaaa
Mume/mke anauma sana asikwambie mtu ukifikiria ile kitu anakupatia anampa mwingine?
Yaani kweli kuna watu Duniani usione vibaya mwenzio kutoka nje ya ndoa UNACHEZA WEWE
 
Huyo mwanamke anatakiwa kupimwa akili.... kukuta kondom kwenye suruali ya mumewe ni jambo moja na kutembea nje ya ndoa ni jambo jingine. ni mambo tofauti hayo....LABDA ALIWEKEWA MFUKONI. amtende haki mumewe banaaa..:angry:

Join DateThu Dec 2010
Posts 2
Thanks0
Thanked 0
Times in 0 Posts
Rep Power 0

Kijana hebu soma mazingira kwanza halafu urudi naona umekurupuka toka usingizini.
Post ya 2 unatoka hivi??
 

michelle (obama)?

Mechi za ugenini lazima na ni muhimu sana kwa ajili ya "ndoa endelevu"!
 

Hapo bold it is loud and clear!!
 

Pengine ulimwonea tu maana ni kweli watu wa msd wakifanya semina hugawa box za kondomu kwa washiriki.
Kama ulikuta ziko pungufu ya mia moja then ruksa kuwa na mashaka.

Nadhani ndicho kinawagombanisha hao wanandoa: Kwamba mme kakutwa na kondomu 2, swali linakuwa ya 3 umeituimia wapi???
 
Acha hizo, hapo mwanamke analia na kuvunjika kwa uaminifu wa mume wake, na pia mwanaume akinogewa lazima hizo ndoms zitawekwa kando one day yes!
 
Mume kasema, eti baada ya kuona wamezaa watoto wawili bila kuweka intervals nzuri kwa maana ya kutofuata mpango mzuri wa uzazi, alikwenda kwa Daktari kuomba kondomu, ndipo alikuta zimekwisha ila kaambulia pisi 2 tu.

ahaaaaaa, kwi!kwi! huo utetezi noma, kwanini hakumshirikisha mke wake mapema kama ni kwa nja njema, ila namshauri mke wake amsamehe tu mwenzie.
 

umakini.
unaonekana kumshangaa mke wake kwanini amenuna wakat jamaa alikuwa anjilinda...MKE WALIKUWA ANAMWAMINI SANA MUMEWE NA ILO JAMBOP LIMEMSHTUA NA KUMUUDHI KM SI KUMUUMIZA KIFIKRA...
 
Tatizo wabongo tunapenda kuchukua hatua hadi jambo litokee!!!Muda wote huo jamaa anachakachua nje mke hana habari leo waona ndomu wajifanya una mcimamo wakati tayari hata kama jamaa kashaupata nawe unao!!!Tujifunze kutafiti tuwe kama wapelelezi wanachunguza jambo kabla halijaharibika au kutokea tusiwe kama polisi wanokuja mbio wakati tukio tayari.Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…