Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
aisee...dry chama ndo mpango mzima kitu treni chuma kwa chuma hamna mpira i hate condoms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee...dry chama ndo mpango mzima kitu treni chuma kwa chuma hamna mpira i hate condoms
ndo hapo nashangaa wanaozivaa wakati wa ngono inakuwaje sasa??
Bowa wasukuma wamezitumia kwa njia mbadaba ya kuwaongezea kipato na kujiremba. Wamasai kuna kipindi walikuwa wanaazimana kifanyio (condom) yani BT leo unatumia halafu unakifua na kuniazima mimi then nakitumia, nakifua namwazima mwingie. Safi sana
weka picha
jana kuna mada ya kunyanyua matiti iliwekwa humu na mleta mada akatuwekea link tukajisomee zaidi, huko mimi ndo nikakutana na hii habari ya Kahama.Mbona mi sijaisikia wala kuiona hii jamani, ndyoko sijui kaitoa wapi? Au kazifananisha?
jana kuna mada ya kunyanyua matiti iliwekwa humu na mleta mada akatuwekea link tukajisomee zaidi, huko mimi ndo nikakutana na hii habari ya Kahama.
Lakini mimi nimeona kwa macho yangu DSsm wadada wakiuziana kondomu za lady pepeta si kwa ajili ya kuzitumia kama ilivyokusudiwa, hasha walikuwa wakizifanya kuwa bangili