Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

Zimeadimika wapi? mbona hospital na vyuoni zimejaa tele unajichotea tu.
I have a medicine shop and can not locate them for the would-be customers, and customers are lamenting of the scarcity
 
JPM alisema watu wazae kwa wingi waongezeke kwa nguvu kazi, ukizingatia vilevile ukimwi ni ajali kazini, condomu hazihitajiki tena.
 
Mbona sehem za starehe ICAP Wana ATM za condom kabisa.
Kuna card unapangusa unapata mzgo fresh kabisa.
 
Mkuu umepata game ya gafla umekumbuka zana na kumbe zana zwnyewe hakuna ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† wazalishaji walipunguza uzalishaji maana Covid 19 iliyumbisha sana sekta sababu wateja wengi waliangulia mbele za haki, kitu kilicho pelekea demand kuwa ndogo sanaa. Ila kwa sasa ivi mkuu ngoja kuchangamke walau demand ipande then supply yao iongezeke ila kwa sasa mnyang'anyane icho kidogo kilichopo
 
Enzi za aids-ukimwi zimeisha sasa hivi tupo kwenye changamoto za upumuaji covid
Ni chanjo tu
 
Nikipata game siyo tatizo, ila siyo . Nina duka la dawa wateja wanakuja Sana kutafuta condom na Sina Wร nasema zimeadimika. Whole sale pharmacy hakuna.......
 
Nikipata game siyo tatizo, ila siyo . Nina duka la dawa wateja wanakuja Sana kutafuta condom na Sina Wร nasema zimeadimika. Whole sale pharmacy hakuna.......
Mkuu waambie vijanaa wamrejee muumba wao
 
Vita
 
Wateja wamekua wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ