Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000
Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?