Kongamano muhimu likijadili mauaji ya kimbari yaliyobeba sura ya kisiasa, kiasi kuna sehemu ya jamii kukataa kuwa 1994 Mauaji ya Kimbari hayakutokea, leo 2025 yanapitiwa kuangalia nini kifanyike na yasitokee tena mauaji ya Kimbari kwani usaulifu upo sana ktk kumbukumbu zetu
07 April 2025
Arusha, Tanzania
KONGAMANO : #LIVE I Commemoration of The 31st Anniversary of the 1994 Genocide Against the Tutsi
View: https://m.youtube.com/watch?v=far5jq13GOo
Leo ni miaka 31 tangu mauaji ya kimbari kutokea Rwanda mwaka 1994.
Mauaji hayo yalipangwa, kufadhiliwa, kutekelezwa na kukingiwa kifua na baadhi ya watu katika jamii pia jumuiya ya kimataifa na kikanda zilifumbia jambo hili.
Leo hii 2025 tukikumbuka historia ya mauaji ya 1994 inasaidia kutukumbusha kuwa ni muhimu kusimama na Rwanda kupinga ubaguzi wa kijamii uliopelekea mauaji ya kimbari.
Leo diaspora ya wana wa Rwanda tunapenda kuzishukuru mamlaka za serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwezesha Tukio hili la Kumbukuzi kuweza kufanyika Arusha Tanzania na bila uchoyo Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC kuwa moja ya wadau waliowezesha KumbuKumbu hii kufanyika hapa makao makuu ya EAC