Kongamano la CHADEMA 10 Desemba 2022 Iringa

Kongamano la CHADEMA 10 Desemba 2022 Iringa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Iringa, Tanzania
KONGAMANO KUBWA LA WEWE MWANA CHADEMA 10 /12/2022

Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa kupitia CHADEMA Peter Msigwa anawakaribisha Kongamano la wewe mwana CHADEMA fika Gangilonga mjini Iringa tarehe 10 December 2022.

Katika kongamano hilo makamanda Joseph Mbilinyi, John Heche, Susan Kiwanga, Ezekiel Wenje pia kwa njia ya mtandao makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu na Godbless Lema watashiriki
 
23 November 2022

KONGAMANO LA KATIBA MPYA PWANI YA KASKAZINI

WATAWALA NA MATAJILI HAWAWEZI KUPIGANIA HAKI ZAKO
 
Katika kingamano hilo Joseph Mbilinyi, John Heche, Susan Kiwanga, Ezekiel pia kwa njia ya mtandao makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu na Godbless Lema watashiriki
Mungu ibariki Chadema
 
23 November 2022

KONGAMANO LA KATIBA MPYA PWANI YA KASKAZINI

WATAWALA NA MATAJILI HAWAWEZI KUPIGANIA HAKI ZAKO

Huyu mtu sichokagi kumsikiliza, naona wamuandae nafasi ya Mwenyekiti naona jinsi 2025 ataibeba Kanda ya ziwa yote!! Ana ushawishi sio kidogo
 
1670075374422.png
 
Huyu mtu sichokagi kumsikiliza, naona wamuandae nafasi ya Mwenyekiti naona jinsi 2025 ataibeba Kanda ya ziwa yote!! Ana ushawishi sio kidogo

CDM wasije kufanya kosa la kuacha kumpa uenyekiti John Heche. Yale makosa yalifanyika ya kuwapa watu kama kina Dr. Mashinji Ukatibu mkuu yasijirudie.
 
09 December 2022
Mlimba, Makambako
Tanzania

Mlimba Makambako macho yote Iringa

Kongamano la wewe mwana CHADEMA tarehe 10 December 2022 Iringa, Tanzania
 
Kamati ya ujenzi yakabidhi eneo kwa CHADEMA

Wananchi wajitolea kujenga chama na kukabidhi eneo kwa CHADEMA ... kifaa cha greda kimeingia kazini kusawazisha eneo na ...
 
Kamati ya Uchumi CHADEMA waianika serikali, wataja madudu kuongezeka kwa deni la Taifa

Kamati ya uchumi ya CHADEMA yaelezea madhara ya wizara ya NISHATI kujaribu kuyahamisha Madeni sugu ya TPDC shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania na yale ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kupelekwa ..

Jumla yake ni trilioni 5 ikiwemo ndani yake ni madeni ya kutoka benki ya Exim ya China kwa mradi wa gesi kusini ambao ungeondoa kabisa tatizo la upungufu wa umeme Tanzania na ziada ya gesi kuuzwa nje ...

Nia na madhumuni ya mkopo w Exim Bank uliodhaminiwa na serikali kwa TPDC ilikuwa shirika hili la mafuta lingepata faida na kutumia sehemu ya faida hiyo kulipa mkopo huu.

Lakini imekuwa kinyume sasa trilioni 2.9 mkopo wa Exim Bank kwa TPDC umehamishwa ktk vitabu vya serikali maana yake wanachi itabidi walipe kodi na tozo zaidi kulipa deni hilo la nje wakati awali serikali iliamini kuwa faida kutokana na mradi wa gesi ndiyo ungelipia deni hilo ....

Na kwa upande wa deni la TANESCO ...
 
Iringa, Tanzania
KONGAMANO KUBWA LA WEWE MWANA CHADEMA 10 /12/2022

Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa kupitia CHADEMA Peter Msigwa anawakaribisha Kongamano la wewe mwana CHADEMA fika Gangilonga mjini Iringa tarehe 10 December 2022.

Katika kongamano hilo makamanda Joseph Mbilinyi, John Heche, Susan Kiwanga, Ezekiel Wenje pia kwa njia ya mtandao makamu mwenyekiti CHADEMA bara Tundu Lissu na Godbless Lema watashiriki
Mungu ibariki CHADEMA
 
Hakika chadema ni mpango wa Mungu na tutakuwepo kwenye kongamano hata kama itatugharimu kiasi gani
 
Ngoja nikustue kidogo, kwa sababu sijaona popote mkistuka kuhusu sinema iliyokuwa ikiendelea hivi jana na juzi; sinema ya "Mbuzi".

Kama CHADEMA hamkukaa chini kwa makini kusoma na kuielewa ile sinema na kuanza kufanyia mipango wakati huu, basi kutakuwa kuna kasoro kubwa ndani ya hicho chama chenu kinachotegemewa kuwa ndicho pekee kinachoweza kusitisha sinema hii inayoendelea; na inajipanga kuendelea zaidi na zaidi.

Kama hamkusoma chochote mliyoona, tokea waanze chaguzi zao toka mwanzo kabisa hadi hapa walipofikia na kujua mchezo wanaupanga vipi, CHADEMA itakuwa haipo makini.
 
Subiri 2025 ndio utaelewa!!! ngoja mjichanganye mkubali tume huru mtajuta maana sidhani kama Kuna mTanzania mwenye akili timamu anaweza piga kura kwa serikali iliyofeli Kila kitu.
Mimi nitapenda kuuliza tu swali kuhusu haya uliyoandika hapa juu:

Hivi kuna dalili zozote zilizoonekana kutokana na shughuli za hivi karibuni za hawa wakubwa zinazowapa waTanzania matumaini yoyote kwa uwepo wa mabadiliko katika muundo uliopo sasa katika sehemu yoyote ile, na 'specifically' katika upatikanaji wa viongozi waliochaguliwa na wananchi wenyewe?

Pengine swali hili linaweza likawa halieleweki kirahisi kwako, lakini nikiri, huo ndio uwezo nilionao wa kuuliza swali kama hili.
Usione nakuzonga kukuuliza wewe maswali ya aina; kuna maana yake maalum, vinginevyo ningeelekeza swali kama hili kwa mkuu kama johnthebabtst au mtu mwingine yeyote wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom